Kenya News in Swahili and English

UMUHIMU WA MAJI .

MBOGO ANDIKIRE INSHA YAKE UU:

Siku moja ng’ombe setu silikuwa simenyota sana. Babangu aliniabia nisitware sikanywe maji. Silipofika, silikuta gatangi ka mai kamegaragario. Ng’ombe sikaanza kuania. Sikaania,sikaania, sikaania mpaka babangu akatoka rugongo akakuja kianda.

Akaniuliza “Mbogo, kwanini ng’ombe sinaania hivyo? Nikamwira ni gatangi kamegaragara. Alinichapa sana na ndio nikajua umuhimu wa maji. Mwalimu ni akenirio ni insha iyo na akihe Mbogo marks 16/40. Wewe unaweza shida Mbogo kuadika insha ? Basi washa kusheka waana!

Via email.

Advertisements

MayUTCbTue, 22 May 2007 13:51:16 +0000000000pmTue, 22 May 2007 13:51:16 +000007 19, 2007 - Posted by | Uncategorized

Sorry, the comment form is closed at this time.

%d bloggers like this: