Kenya News in Swahili and English

Mzee Gerry Midenyo Ajiuzulu

Aliyekuwa mweka hazina wa Orange Democratic Movement-Kenya Scandinavia (ODM-KS) amejiuzulu. Bwana Midenyo alinukuliwa akisema haya wakati ambapo aliulizwa swala la mpango wa ODM-KS wa kuendeleza kesi ya shamba ambayo imekua kati ya Ubalozi wa Kenya hapa Sweden, na Mswidi mmoja ambaye alifaidika kwenye kashfa hiyo.                    

Bwana Midenyo alisema kwamba ataendelea kuwa mwanachama wa ODM-K huko Kenya lakini hatajiunga na chama cha Narc-Kenya. Bwana Midenyo alikaririwa akisema kuwa chama chochote cha siasa ambacho hakifuatilii maadili hakitaenda mbali. Mbali na hayo, Bwana Midenyo alisema kuwa kujiuzulu kwake kumetokana na mambo yake ya kifamilia na yale ambayo alidai kuwa hayakumfurahisha kwenye chama cha ODM-KS. Habari kamili tutawaletea hivi karibuni. 

Jared Odero na Munala Wa Munala                                                                                                                        

                                                             

Advertisements

FebruaryUTCbWed, 14 Feb 2007 10:54:31 +0000000000amWed, 14 Feb 2007 10:54:31 +000007 19, 2007 - Posted by | Habari Motomoto

No comments yet.

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: