Kenya News in Swahili and English

Kenya Iko Matata!

Ndugu na dada zangu ee Wakenya mlio karibu hapa na mbali huko, habari nzuri nawaletea. Siku hii ni siku ya furaha kwa kuwa tumefikia wakati ambapo sisi kama Wakenya, twaweza kuungana pamoja na kusaidia kuimarisha maisha ya Wakenya wenzetu.  

Hebu tuendelee kupigania haki zetu, kwani mwishowe tutashinda. Pia, tuendelee kufunza majirani wetu undugu na lugha ya Kiswahili. Tujivunie lugha yetu kwa sababu hii ni njia moja ya kuua ukabila. Tuzing’oe mizizi yote ya kikabila yanao turudisha nyuma. Tukilitazama jambo hili, maendeleo ni lazima.

Munala wa Munala

Advertisements

FebruaryUTCbSun, 11 Feb 2007 19:47:36 +0000000000pmSun, 11 Feb 2007 19:47:36 +000007 19, 2007 - Posted by | Uncategorized

No comments yet.

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: